sw_tn/luk/12/24.md

20 lines
808 B
Markdown

# ndege wa angani (Rivens)
(Rivens) hii inamaanisha 1) Ni aina ya ndege wanaokula mbegu zaidi, au 2) aina ya ndenge wanaokula nyama ya wanyama waliokufa. Wasikilizaji wa Yesu watakuwa wameidharau hao ndege kuwa si kutu (rivens) kwani Wayahudi hawali aina hiyo ya ndege.
# Ninyi si bora zadi kuliko hao ndege
Hii ni tahamaki na siyo swali. Yesu alisisitiza ukweli kwamba watu ni wa muhimu sana kwa Mungu kuliko ndege.
# Ni yupi kati yenu ...maisha yake?
Yesu alitumia swali kufundisha wanafunzi wake
# kuongeza dhiraa moja katika maisha yake
Huu ni mfano kwasababu dhiraa hutumika kupima urefu, na siyo muda. Taswira ya maisha ya mtu kufutwa kama vile ubao, au kamba , au kitu chochote kigumu.
# ikiwa basi hamuwezi kufanya....hayo mengine ?
Yesu alitumia swali lingine kuwafundisha wanafunzi wake.