sw_tn/luk/12/02.md

1.0 KiB

Lakini hapatakuwepo na siri iliyofichika ambayo haitafunuliwa

"Lakini kila kitu kilichofichwa kitaonyeshwa" Neno "lakini" ni neno la kiunganishi" Lakini watu watajua mambo yote wafanyayo watu kwa siri"

wala jambo lililo fichwa ambalo halitajulikana

Hii ina maana sawa na sehemu ya kwanza ya sentensi ili kuzizitiza ukweli. " na watu watajifunza kuhusu kile ambacho watu wengine wanajaribu kuficha"

itasikiwa katika mwanga

" watu watasikia katika mwanga"

mliyoyasema kwenye sikio

"Kumnong'onezea mtu mwingine"

ndani ya vyumba vyenu vya ndani

"kwenye chumba iliyofungwa". "Kwa sehemu ya faragha" au "Kwa siri"

vitatangazwa

"itasemwa kwa sauti ya juu". "Watu watatangaza"

juu ya nyumba

Nyumba katika Israeli zlikuwa na paa gorofa, hivyo watu wanaweza kwenda na kusimama juu yao. Kama viongozi wanavyokuwa na wasiwasi kujaribu kufikiria jinsi watu wanavyoweza kupanda juu ya zile nyumba, hii inaweza pia kutafsiriwa na usemi zaidi kwaa jumla, kama vile "kutoka mahali pa juu ambapo kila mmoja atakuwa na uwezo wa kusikia."