sw_tn/luk/11/09.md

750 B

Omba..tafuta....bisha

Yesu alitoa hizi amri kuwatia moyo wanafunzi wake kuomba bila kukoma. Lugha nyingine huitaji maelezo zaidi. "waweza kuelezea kama ifuatavyo: endelea kuomba kwa kile unachokihitaji....endelea kutafuta kile unachohitaji kwa Mungu...endelea kubisha hodi kwenye mlango"

Nanyi mtapewa

"Mungu atakupatia " au "Utapokea"

Bisha/kugonga

Kugonga katika mlango ni kupiga mara kadhaa kumfanya yule aliyeko ndani ajue kuwa unasimama je. Inaweza pia kutafsiriwa kwa kutumia njia ambayo watu wa kabila lenu huonyesha kuwa wamefika. Mfano "Kuita" au "kukohoa" au "Kupiga makofi" . Hapa inamaana mtu anendelee kuomba kwa Mungu hadi amjibu

itafunguliwa kwenu

"Mungu atafungua Mlango kwa ajili yako" au "Mungu atakukaribisha Ndani"