sw_tn/luk/10/intro.md

18 lines
657 B
Markdown

# Luka 10 Maelezo ya Jumla
## Dhana maalum katika sura hii
### Mavuno
Mavuno ni picha ya kawaida inayotumiwa katika Agano Jipya. Wakati watu wanakuja kwa Yesu na kumwamini inajulikana kama mavuno. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/faith]])
### "Alikuwa jirani"
Dhana ya "kuwa jirani" ilikuwa muhimu katika desturi ya inchi za kale za Mashariki ya Karibu, ambayo kukaribisha wageni ilikuwa heshimu sana. Katika sura hii, "jirani ina maana ya mtu anayesihi karibu au labda mtu mwingine ye yote. "Alikuwa jirani" pia hutumiwa kumaanisha "alikuwa jirani mwema."
## Links:
* __[Luke 10:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../09/intro.md) | [>>](../11/intro.md)__