sw_tn/luk/10/40.md

12 lines
523 B
Markdown

# haujali...peke yangu?
Martha alaikuwa analalamika kuwa Bwana alimruhusu Mariamu aketi amsikilize wakati kulikuwa na kazi nyingi za kufanya. Alimuheshimu Bwana, ndo maana alitumia swali la kejeli kufanya malaliko yake kuwa ya upole.AT: "inaonekana hujali..pekeyangu."
# Martha, Martha
Yesu arudia rudia jian la martha kuonesha msisitizo. AT: "Mpendwa Martha" au "wewe Martha."
# ambacho hakitachukuliwa kutoka kwake
Inaweza maanisha 1) " Sitachukua fursa yake" au "2) "Hatapoteza alichopatakwa sababu ananisikiliza."