sw_tn/luk/10/17.md

1.5 KiB

Wale sabini walirudi

Lugha zingine zinaweza sema ya kuwa wale sabini walienda kwanza huko nje kama ambavyo UDB inasema. Hii ni taarifa ya mwanzo inayoweza fanya ya mwisho.

Sabini

Unawezataka kuongeza idadi, kwa maana ya kwamba, "Andishi mbalimbali wana 72 badala ya 70.

Katika jina lako

kwa hapa, "Jina" lina rejea Nguvu na mamulaka ya Yesu".

Nilimtazanma Shetani akianguka kutoka mbinguni kama radi.

Yesu alitumia mfano hai, kuonesha jinsi ambavyo Mungu alikuwa akimshinda shetani pale ambapo wanafunzi wake 70 walikuwa wakihubiri mjini".

Mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge

"Mamlaka ya kukanyaga nyoka na kusaga n'ge" Maana zinazotambulika ni kama, 1)Hii inarejea uhalisia wa nyoka na n'ge. au 2) Nyoka na nge ni vielelezi wa roho chafu. UDB inatoa tafasiri ya kuwa hizi ni roho chafu. "Nimewapa haki na mamlaka ya kuteka roho chafu"

Mamlaka juu ya pepo wabaya na n'ge

Hii inamaana ya kuwa watafanya haya na hawatadhurika. AT:Watatembea juu ya nyoka na n'ge na hawatawadhuru".

N'ge

Mnyama mdogo mwenye sehemu mbili za kushikia mfano wa pembe, na kitolea sumu mfano wa sindano kali kwenye mkia wake.

Na nguvu zote dhidi ya adui

Nimewapa mamlaka kuzishinda nguvu za adui" au " Nimewapa mamlaka ya kumshinda adui" na adui ni Shetani.

Msifurahi tu katika hili,kwamba roho wanawatii

" Msifurahi tu kwa sababu wanawatii"'

majina yenu yameandikwa mbinguni.

AT: "Mungu ameyaandika majina yenu mbinguni" au "Majina yenu yapo katika orodha ya watu ambao ni ufalme wa mbinguni".