sw_tn/luk/10/13.md

1.2 KiB

Ole kwako Korazini, Ole kwako Bethadia!

Yesu aliongea kana kwamba watu wa Korazini na Bethadai walikuwepo, lakini hawakuwepo.

Kama kazi kuu zilizo fanyika ndani yako ingali fanyika Tire na Sidoni.

Yesu anaelezea hali ambayo ingetokea hapo nyuma lakini haikutokea. AT: " Kama mtu angelitenda miujiza kwa watu wa Tire na Sidoni ambayo ningetenda kwenu"

Wangeli tubu zamani sana,

"Watu wanyonge walioishi huko wangelionesha huzuni ya dhambi zao".

wakikaa ndani ya nguo za gunia na majivu.

"Wakivaa nguo za magunia na kukaa kwenye majivu"

Lakini itakuwa usitahamilivu zaidi siku ya hukumu kwa Tire na Sidoni zaidi yenu.

AT: "Lakini kwa sababu hamkutubu na kuniamini mimi hata kama mliniona nikitenda miujiza, Mungu atawaadhibu zaidi ya jinsi ambavyo atawadhibu Tire na Sidoni"

Katika hukumu

"Siku ya mwisho ambapo amaungu atamuhukumu kila mmoja.

Wewe Kaperanaum,

Yesu anaongea na watu wa mji wa Kaperanaum, kama vile walikuwa wakisikiliza kumbe ndivyo sivyo.

Unafikiri utainuliwa mpaka Mbinguni?

Yesu anatumia swali kuwakalipia watu wa Kaperanaum kwa kujisifu kwao. AT : "Hautakaamufikie juu mpka mbinguni" au "Mungu hatakuheshimu"

Utashushwa chini mpaka kuzimu

AT: "Utaenda chini kuzimu" au " Mungu atakupeleka kuzimu".