sw_tn/luk/10/10.md

1.3 KiB

Na wasiwapokee

"kama wakiwakataa"

Hata vumbi lililonatia miguu yetu kutoka katika mji wenu tunalikung'uta thidi yenu

Kwa sababu Yesu alikuwa akiwatuma watu hawa huko nje katika makundi ya watu wawili wawili, hivyo watu wawili wawili walikuwa wasemaji kwa kila kundi. kwa hiyo lugha zenye tafasiri ya neno "sisi" ndo ilikuwa hivyo. AT: "Kama ambavyo mlitukana sisi, na ndivyo tutakavyo wakana ninyi. Na hata tumekataa vumbi linalo toka katika mji wenu linalonata katika miguu yetu".

Lakini tambueni hili, Ufalme wa Mungu umekaribia.

Neno "Lakini tambueni hiii" linatambulisha onyo. Linamaanisha "hata kama mkitukana sisi, haibadilishi maana ya ufalme wa Mungu kuwepo hapa".

Ufalme wa Mungu umekaribia.

"Ufalme wa Mungu upo kati yenu"

Ninasema kwenu

Yesu alikuwa akiyasema haya kwa watu sabini(70) ambao alikuwa akiwatuma huko nje, Alisema haya ili kuonesha ya kuwa alikuwa aseme kitu cha muhimu zaidi"

Siku ya hukumu

kwa kawaida neno linasema "siku ile"Lakini wanafunzi wake walielewa ya kuwa, alimanisha siku ya mwisho ya hukumu kwa wenye dhambi.

Itakuwa ni usitahamilivu zaidi kwa Sodoma kuliko mji huo.

"Mungu hataihukumu Sodoma kwa nguvu kama atakavyouhukumu ule mji" AT "Mungu atawahukumu watu wa ule mji kwa nguvu zaidi ya atakavyo wahukumu watu wa Sodoma".