sw_tn/luk/09/49.md

813 B

Petro akajibu akasema

Yohana alikuwa anajibu juu ya kile Yesu alichosema kuhusu ukuu. Hakuwa anajibu swali. alitaka kujua mtu aliye yalhimiza mapepo kutoka atakuwa na nafasi gani kati ya wanafunzi. AT : "kwenye kujibu, Yohana akasema" au "Yohana alijibu kwa Yesu"

Bwana

Neno lililotafasiriwa hapa kama "Bwana" sio neno la kwawaida kumaanisha " Bwana." Hapa linamaanisha mtu mwenye mamlaka na sio mtu anaemmiliki mtu mwingine. AT: "Bosi"au "mweshimiwa"

jina lako

Hii inamaanisha mtualiyekuwa anaongea alikuwa na nguvu na mamlaka ya Yesu.

Msimzuie

AT: "mruhusu aendelee"

kwa kuwa asiye kinyume na ninyi ni wa kwenu

Baadhi ya lugha ina misemo inayomaanisha kitu kile kile. AT: "kama mtu asipokuzuia , ni kama anakusaidia" au "kama mtu hatendi kinyume na wewe, anafanya sawa sawa na matakwa yako."