sw_tn/luk/09/28.md

24 lines
658 B
Markdown

# Sentensi kiunganishi
Siku nane baada ya Yesu kuwaambia kuwa baadhi hawatakufa kabla ya kuuona ufalme wa Mungu, Yese anaenda mlimani kuomba pamoja na Petro na Yohana ambao walilala wakati Yesu anabadilika muonekano .
# Ikatokea
Hii sentenso imetumika hapa kuashiria tukio muhimu katika hadithi. Kama lugha yako ina namna nzuri ya kufanya hivi, unaweza kufikria kuitumia hapo.
# siku nane
"siku 8"
# maneno haya
Hii inaashiria Yesu alisema kwa wanafunzi wake kwenye mistari inayoendelea.
# juu ya mlima
Haiko wazi ni juu kiasi gani walienda. AT: "pembeni mwa mlima"
# meupe na ya kung'aa
"nyeupe ya kung`aa na kali" au "nyeupe kali na ya kung`aa"