sw_tn/luk/08/47.md

876 B

hawezi kuficha alichokifanya

"hawezi kutunza siri ya kile alichokifanya." "kwamba asingeweza kuendelea kutunza kama siri maana yeye ni yule aliyemgusa Yesu."

akaanza kutetemeka

"akatetemeka kwa hofu"

akaanguka chini mbele za Yesu

yawezekana maana ni 1). "aliinama chini mbele za Yesu" au 2) alilala chini kweye ardhi katika miguu ya Yesu. "hakuanguka kiajali. alifanya hivi kama ishara ya ubinadamu na heshima kwa ajili ya Yesu.

mbele ya

"Kwenye sehemu ya" au "Mbele"

Binti

Hii ilikuwa ni aina ya kusema kwa mwanamke. Kabila lako linaweza kuwa na njia nyingine ya kuonyesha huu wema.

imani yako imekufanya uwe vizuri

"Kwa sababu ya Imani yako, umekuwa vizuri." "Kwa sababu umeamini, umeponywa"

Enenda kwa Amani

Hii ni njia ya kusema, ""Kwa heri" na kutoa baraka kwa wakati mmoja. "Unapokwenda, Usiogope hata kidogo" au "Mungu akupe amani unapoenda"