sw_tn/luk/08/45.md

645 B

Bwana Mkubwa

Neno liliotafsiriwa hapa kama "Bwana mkubwa" siyo neno la kawaida kwa "Bwana mkubwa." Hii inaenda kwa mtu mwenye mamlaka, lakini si kwa mtu mwingine yeyote. "Bosi" au "Msimamizi" au na neno ambalo ni la kawaida limetumika kuelezea mtu aliye kwenye mamlaka, kama vile "Mheshimiwa"

umati wa watu wanakusukuma na wanakusonga

Kwa kusema hiv, Petro alikuwa akihusisha kila mmoja anaweza kumgusa Yesu. hii ni taarifa thabiti inaweza kufanywa kwa wazi kama ni mhimu katika UDB

nilijua nguvu zimetoka kwangu

"Nimesikia uponyaji nguvu zimetoka kwangu." Yesu hakupotwza nguvu au kuwa mdhaifu, lakini nguvu yake inamponya mwanamke.