sw_tn/luk/08/43.md

559 B

mwenye kutokwa damu

"alikuwa anatokwa na damu nyingi" alikuwa akitokwa damu kutoka na tumbo lake hata kama haikuwa kawaida ya wakati wake. kwa kabila baadhi wanaweza wakawa na njia ya upole kuhusiana na hali hii.

hakuna aliyemponya hata mmoja

"lakini hakuna hata mmoja wao wa kumtibu" au "hakuna hata mmoja wao aliweza kumponya"

kugusa pindo la vazi lake

"aligusa pindo la vazi lake" Wanaume wa kiyahudi walivaa Taso juu ya makunjo ya nguo zao kama sehemu ya mavazi ya sherehe zao kama amri katika amri za Mungu. Hii inaonyesha ndiyo alichogusa.