sw_tn/luk/08/19.md

453 B

Ndugu

Hawa walikuwa wadogo zake Yesu nusu ndugu.

ikaelezwa kwake

"watu wakamwambia" au "mtu fulani akamwambia"

wanahitaji kukuona

"wanasubiri kukuona" au " na wanataka kukuona"

Mama yangu na ndugu zangu ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii

"Wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii wanafanana na mam yangu na ndugu zangu kwangu" au "Wale wanaosikia neno la Mungu na kulitii ni mhimu sana kwangu kama mama yangu na ndugu zangu"