sw_tn/luk/07/36.md

1.2 KiB

Sentensi Unganishi:

Mfarisayo alimwalika Yesu kula nyumbani kwake.

Taarifa kwa Ujumla

Ilikuwa ni desturi ya wakati huo mtazamaji kuhudhuria chakula cha jioni bila kula.

Sasa mmoja wa mafarisayo

Alama ya mwanzo mpya wa habari na inatambulisha mfarisayo kwenye habari.

aliegemea kwenye meza ili ale

"Alikaa kuzunguka kwenye meza kwa ajili ya chakula." Ilikuwa ni desturi kwa chakula cha starehe kama hiki chakula cha jioni kwa wanaume kula huku wakiwa wamejilaza kwa raha wakizunguka meza.

Tazama kulikuwa na mwanamke mmoja

Neno "Tazama" linatutazamisha sisi kwa mtu mwigine katika hadithi. Lugha yako inaweza ikawa na namna ya kufanya hivi.

aliyekuwa na dhambi

Yawezekana alikuwa kahaba. "Aliyeishi maisha ya dhambi" au "Ambaye alikuwa na sifa za kuishi maisha ya dhambi."

chupa ya manukato

"chupa hii ilitengenezwa kwa jiwe laini." Chupa ni laini, mwamba mweupe. watu walihifadhi vitu vya thamani katika hiyo chupa.

mafuta ya manukato

"na manukato ndani yake." manukato yalikuwa ni mafuta yaliyokuwa yanatoa harufu nzuri ndani yake. watu walijipaka wao wenyewe au kunyunyizia nguo zao ili wanukie vizuri.

kwa nywele za kichwa chake

"Kwa nywele zake"

kuwalowanisha kwa manukato

"mwaga manukato juu yao"