sw_tn/luk/07/16.md

862 B

Sentensi Unganishi

Hii inatumabia jinsi ilivyotokea kama matokeo ya uponyaji wa Yesu kwa mtu aliyekuwa amekufa.

hofu ikawajaa wote

"Hofu huwajaa wote." Hii inaweza katika kauli tendaji. NI: "wate wakawa na hofu sana."

Nabii mkuu

Walikuwa wanarejea kwa Yesu, siyo kwa yule nabii asiyejulikana.

Ameinuliwa kati yetu

"Amekuja kuwa nasi" au "Ameonekana kwetu." Mungu ameinua nabii mkuu katikati yetu." Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "Mungu ameinua nabii mkuu kati yetu"

amengalia juu ya

Nahau hii inamaana "ajali"

Habari hizi njema kuhusu Yesu zikaenea

"Habari hizi njema" inarejea kwa vitu ambavyo watu walikuwa wanasema katika mstari wa 16. Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji "Watu wakaeneza hizi taarifa kuhusu Yesu" au "Watu waliwaambia wengine hii taarifa ya kuhusu Yesu."

Habari hizi

"Hili neno" au "Huu ujumbe"