sw_tn/luk/06/41.md

1.0 KiB

kwanini unaangalia ... lakini huzingatii kijiti ambacho kimo kwenye jicho lako?

Yesu anatumia swali hili kuwapa watu changamoto kuzingatia dhambi zao wenyewe kabla hawajafuatilia dhambi za watu wengine. NI: "usiangalie ... lakini puuza kitiji ambacho kimo kwenye jicho lako"

kibanzi kilichomo kwenye jicho la ndugu yako

Hii ni sitiari ambayo inarejea kwenye kosa dogo alilofanya muumini mwenzako.

kipande cha kijiti

"doa" (UDB) au "kibanzi." Tumia neno kwa kitu kidogo ambacho kwa kawaida kinaingia kwenye jicho la mtu.

ndugu

Hapa "ndugu" inanarejea kwa myahudi au muumini mfuasi wa Yesu.

kijiti ambacho kimo kwenye jicho lako

Hii ni sitiari kwa kosa la mtu maarufu. kijiti hakiwezi kuingia kwenye kwenye jicho la mtu kilivyo. Yesu anasisitiza kwamba mtu awe makini kwa makosa yake mwenyewe kabla hajashughulikia makosa madogo ya mwingine.

kijiti

"boriti " au "kigogo"

Unawezaje kusema ... jicho?

Yesu anauliza swali hili kukosoa watu wazingatie dhambi zao kabla ya kufuatilia dhambi za wengine. NI: "Usiseme ... jicho"