sw_tn/luk/06/26.md

248 B

Ole wenu

"ni gani balaa gani litakuwa kwenu" au "jinsi mtakavyo kuwa na huzuni"

Kipindi wanadamu wote

kipindi watu wote" au "kipindi kila mmoja"

hivyo ndivyo wahenga waliwafanya manabii wa uongo

"walinena vizuri juu ya manabii wa uongo"