sw_tn/luk/06/24.md

577 B

Ole wenu

"jinsi gani kwenu ni hatari." Kirai hiki kimerudia mara tatu. Ni kinyume cha "mmebarikiwa ninyi" Kila mara, kinaashiria kwamba hasira ya Mungu ni moja kwa moja kwa watu, au kwamba kitu hasi au kibaya kinawasubiri.

ole wenu ninyi mlio matajiri

namna gani balaa ni wale ambao ni matajiri" au "shida zitakuja kwa wale ambao ni matajiri"

Mfariji wenu

"mfariji wenu" au "kinacho waridhisha ninyi" au "kinacho wafanya mwe na furaha"

Mlio shiba sasa

"ambao matumbo yao yameshiba sasa" au "ambaye hula kingi sasa"

wanao cheka sasa

"ambaoana furaha sasa."