sw_tn/luk/06/09.md

525 B

Kwao

"kwa Mafarisayo"

ni halali ... okoa maisha ... iharibu?

Yesu alitaka kuwasahihisha Mafarisayo wajuao kwamba ni kosa kuponya siku ya Sabato. Aliuliza swali kama kupinga kati ya kufanya wema au uovu ili kwamba iwe wazi kipi ni sahihi na kipi ni kibaya. NI: "tendo lipi ambalo sheria inaruhusu - kufanya wema na kuponya, au kuumiza na kuharibu maisha?"

kufanya mema au kufanya madhara

"kusaidia mtu au kumdhuru mtu"

Nyoosha mkono wako

"Shikilia mkono wako" au" panua mkono wako"

alirejeshwa

"aliponywa"