sw_tn/luk/06/01.md

32 lines
1.2 KiB
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Sasa Yesu na wanafunzi wake wanatembea kupitia kwenye shamba la ngano wakati baadhi ya mafarisayo wanaanza kuwauliza wanafunzi kuhusu walichokuwa wanafanya siku ya sabato ambayo katika sheria ya Mungu imetengwa kwaajili ya Mungu.
# Taarifa kwa Ujumla
Neno "wewe" hapa ni wingi, na linarejea kwa wanafunzi.
# sasa ikatokea
Kirai hiki kilitumika hapakuzingatia mwanzo wa sehemu mpya ya masimulizi. Ikiwa lugha yako ni njia ya kufanya hivi, ingeweza kutumika hapa.
# masuke
Kwa suala hili, hizi ni sehemu kubwa za nchi ambapo watu walikuwa wametawanya mbegu pawe na ngano nyingi.
# juu ya ngano
Hii ni sehemu ya juu ya mmea wa ngano, ambao ni aina jani kubwa. inashikilia mbegu inayoota ya mmea.
# kufikicha katikati ya mikono yao
Walifanya hivi kutenganisha ngano. NI: "Walifikicha ngano katika mikono yao kutenganisha ngano na ganda" (UDB)
# Kwa nini mnafanya vitu ambavyo ni kinyume kufanya siku ya sabato?
Hili ni swali linalowatuhumu wanafunzi kwa kuvunja sheria. NI: "Kuchuma nafaka siku ya sabato ni kinyume na sheria ya Mungu!"
# kufanya kitu fulani
Mafarisayo waliona hata kitendo kidogo cha kufikicha ngano kuwa ni kazi ivunjayo sheria. NI: "kufanya kazi"