sw_tn/luk/05/37.md

1.1 KiB

Hakuna mtu awekae

"Mtu hawezi kuweka "au" hakuna hata mmoja huweka"

Divai mpya

"juisi ya dhabibu."Hii inamaanisha divai ambayo bado hajachachishwa."

Kiriba

Hii ni mifuko iliyotengenezwa kwa ngozi ya mnyama. Ingeweza kuitwa mifuko ya divai "au "mifuko iliyotengenezwa kwa ngozi."

kiriba kipya kingepasua ngozi

Kipindi divai mpya inachana na kuvutika, inapasua ngozi ya zamani kwa sababu hata hivyo hunyooka. Wasikilizaji wa Yesu walielewa taarifa zihusuzo divai iliyochachishwa na kuvutika.

Divai ingevuja

"Divai ingevuja nje ya mifuko"

viriba vipya

"viriba vipya " au "mifuko mipya ya divai."Hii inamaanisha viriba vipya vya divai, visivyotumika.

kunywa divai ya zamani ... anataka mpya

Sitiari hii inakanusha mafundisho ya zamani ya viongozi wa dini ni kinyume na mafundisho mapya ya Yesu. Dokezo ni kwamba watu ambao walizoea mafundisho ya zamani hawako tayari kusikiliza vitu vipya ambavyo Yesu anafundisha.

Divai ya zamani

"divai ambayo imechachishwa"

Anasema cha zamani ni bora

Itasaidia kwa kuongeza: na "hata hivyo tayari kujaribu divai mpya.