sw_tn/luk/05/25.md

16 lines
257 B
Markdown

# kwa haraka
"mara moja"njia sahihi"
# akainuka
Inaweza kusaidia kusema kwa wazi kwamba aliponywa. NI: "mtu aliponywa! akainuka."
# kujawa na hofu
"hofu sana"au" kujawa na utisho"
# vitu vinavyozidi vya kawaida
"vitu vya kushangaza "au" vitu vigeni"