sw_tn/luk/05/22.md

28 lines
919 B
Markdown

# kutambua walichokuwa wanafikiri
Kirai hiki kinaashiria kwamba walikuwa wanahojiana kimya kimya, hivyo kwamba Yesu alitambua zaidi na alisikia walichokuwa wanfikiri.
# Kwa nini mnaulizana hili mioyoni mwenu
Msingepaswa kusema hivi mioyoni mwenu " au"Msingepaswa kutia shaka kwamba nina mamlaka ya kusamehe dhambi"
# Mioyoni mwenu
Hii inarejea sehemu ya mtu ambayo hufikiri au huamini.
# rahisi kusema
Kitu ambacho hakipo wazi ni kimoja. "Ni rahisi kusema, sababu hakuna mmoja atakayejua, lakini kitu kingine ni "kigtumu kusema sababu kila mmoja atajua". watu wasione kama mtu dhambi zako zimesamehewa, 'lakini Mungu pekee anaweza sababisha huyu mlemavu kusimama na kutembea."
# mnaweza kujua
Yesu alikuwa akiongea kwa Waandishi na Mafarisayo. Neno "enyi" ni wingi.
# Mwana wa Adam
Yesu alikuwa akirejea yeye peke yake
# Nasema kwenu
Yesu alikuwa akisema haya kwa mtu aliyepooza .Neno "wewe" ni umoja