sw_tn/luk/05/20.md

1.0 KiB

angalia imani yao, Yesu alisema

ilieleweka kwamba walimwamini Yesu anaponya mtu aliyepooza. NI: "Yesu alipotazama kwamba wanaamini kwamba anaweza kumponya mtu, alimwambia "

Mwanadamu

Hili ni neno lililotumika kwa ujumla ambalo watu walitumia walipokuwa wakizungumza mtu na ambaye jina lake hawakulijua. ilikuwa siadabu, lakini pia haikuonesha heshima maalumu. Baadhi ya lugha ziliweza kutumia neno kama "rafiki" au "mkuu."

dhambi zako zimesamehewa

"umesamehewa" au "nasamehe dhambi zako"

hoji hiki

"jadili hili" au "toa hoja kuhusiana na hili." NI: "pengine jadili hata siyo Yesu alikuwa na mamlaka ya kusamehe dhambi."

Nani huyu ambaye anasema kufuru?

Swali hili linaonesha jinsi walivyoshituka na kukasirika kwa kile ambacho Yesu alisema. "Mtu huyu anamkufuru Mungu" au "Yeye anamkufuru Mungu kwa kusema hivyo"

Nani anayeweza kusamehe dhambi, lakini Mungu pekee?

Inachodokeza taarifa ni kwamba kama mtu anadai kusamehe dhambi anasema ni Mungu. "Hakuna anayeweza kusamehe dhambi lakini Mungu pekee" au "ni Mungu pekee ambaye anaweza kusamehe dhambi."