sw_tn/luk/05/08.md

705 B

alianguka chini magotini pa Yesu

Maana zinazowezekana ni 1) "kuinama chini magotini pa Yesu" au 2) kulala chini miguuni ya ardhi miguuni pa Yesu" 3) "kupiga magoti mbele ya Yesu." Yesu hakuanguka kwa bahati mbaya. Yeye alifanya hivi kama ishara ya unyenyekevu na heshima kwa Yesu.

mtu mwenye dhambi

Neno hapa kwa "mtu" linamaanisha "mtu mzima mwanaume" na kwa ujumla zaidi "binadamu."

kamata samaki

"idadi kubwa ya samaki"

washirika pamoja na Simoni

"Wadau wa Simoni katika biashara ya uvuvi"

utakamata watu

Sura ya kukamata samaki imekuwa ikitumika kama sitiari kwa kukusanya watu kumfuata Kristo. NI: "utavua watu" au "mtakusanya watu kwaajili yangu" au "mtaleta watu kuwa wanafunzi"