sw_tn/luk/04/20.md

24 lines
1.1 KiB
Markdown

# bingilisha gombo
gombo lilikuwa limefungwa kwa kubingilishwa kama bomba kutunza kile kilichoandikwa ndani yake.
# mhudumu
Hii inarejea kwa mtumishi wa sinagogi ambaye alileta na kutunza kwa uangalifu and unyenyekevu gombo linalobeba maandiko.
# yalikuwa yamekazwa kwake
Lahaja hii inamaanisha "yalikuwa yameelekezwa kwake" au "walitazama kwa makini kwake"
# maandiko haya yametimizwa mkiwa mnasikiliza
Yesu alikuwa anasema hivyo kutimiza unabii kwa vitendo na hotuba kwa wakati wake kabisa. Hii inaweza ikaelezwa katika kauli tendaji. NI: "Sasa hivi ninatimiza inatimiza ambacho maandiko yalisema mnaponisikiliza sasa"
# shangazwa na maneno ya neema ambayo yalikuwa yanatoka katika kinywa chake
"lipigwa butwaa na vitu vya neema alivyokuwa akivisema." Hapa "aneema" inaweza kuerejea 1) ubora au jinsi ya ushawishi aliozungumza Yesu, au 2) kwamba Yesu alizungumza maneno kuhusu neema ya Mungu.
# Huyu si ni mwana wa Yusufu?
Watu walifikiri kwamba Yusufu alikuwa baba wa Yesu. Yusufu hakuwa kiongozi wa dini, hivyo walishangaa kwamba mtoto wake atahubiri kiasi hicho. NI: "Huyu ni mwana wa Yusufu tu!" au "Baba yake ni Yusufu tu!"