sw_tn/luk/04/18.md

969 B

Roho wa Bwana iko juu yangu

"Roho Mtakatifu yuko pamoja nami kwa namna maalumu." Wakati mtu fulani anasema hivi, anathibitisha kunena maneno ya Mungu.

aliniweka wakfu mimi

Katika Agano la Kale, mafuta ya upako yalimiminwa juu ya mtu aliyepewa nguvu na mamlaka kufanya kazi maalumu. Yesu anatumia sitiari hii kurejea kwa Roho Mtakatifu kuwa juu yake kumwandaa kwaajili ya kazi. NI: "Roho Mtakatifu yuko juu yangu kuniwezesha" au "Roho Mtakatifu alinipa mimi nguvu na mamlaka"

maskini

"watu maskini"

kutangaza uhuru kwa mateka

"kuwaambia ambao walikuwa wametekwa kwamba wako huru" au "kuwaweka huru wafungwa wa vita"

kupona macho kwa wale vipofu

"kumpa kipofu kuona" au "kumfanya kipofu aweze kuona tena"

wekwa huru wale ambao wanagangamizwa

"weka huru wale ambao tumikishwa vibaya"

kutangaza mwaka wafadhila ya Bwana

"mwambia kila mmoja kwamba Bwana tayari amebariki watu wake" au "tangaza kwamba huu ni mwaka ambao Bwana ataonesha wema wake"