sw_tn/luk/03/23.md

869 B

Maelezo kwa ujumla

Luka anaorodhesha mababu wa Yesu kwa njia ya uzao wa baba yake mlezi, Yusufu.

Wakati

Neno hili limetumika hapa kuthibitisha mabadiliko kutokana na hadithi ya taarifa za msingi kuhusu kuhusu umri Yesu na mababu.

umri wa miaka thelathini

"umri wa miaka 30"

Alikuwa mwana (kama ilivyodhaniwa) wa Yusufu

"Ilidhaniwa kwamba alikuwa ni mwana wa Yusufu" au "Watu walidhani kuwa yeye ni mwana wa Yusufu"

mwana wa Eli, mwana wa Mathati, mwana wa Lawi

fikiria jinsi watu wanavyoorodhesha wahenga katika lugha yako. Utumie mfumo huohuo kwa orodha yote. Mifumo inyoowezekana ni 1) "ambaye alikuwa mwana wa Heli, ambaye alikuwa mwana wa Mathat, ambaye alikuwa mwana wa Lawi" 2) Yusufu alikuwa mwana wa Heli, Heli alikuwa mwana wa Mathat, baba wa Mathat alikuwa Lawi"

mwana wa Eli.

"Yusufu alikuwa mwana wa Eli" au "baba Yusufu alikuwa Eli"