sw_tn/luk/03/21.md

1.5 KiB

Sentensi unganishi

Yesu anaanza huduma yake kwa ubatizo wake.

Sasa ikawa kwamba

Msemo huu ni mwanzo wa tukio jipya katika hadithi. Kama lugha yako ina njia kwa ajili ya kufanya hii, unaweza kufikiria kutumia hapa.

wakati watu wote walikuwa wakibatizwa na Yohana

"Wakati Yohana alikuwa akibatiza watu wote." Neno "watu wote" inahusu watu akiwemo na Yohana.

batizwa

"Yesu alibatizwa na Yohana." Baadhi ya makundi wanaweza kuchanganywa kwamba Yohana alikuwa anabatiza wakati Herode alimweka gerezani kwenye mstari uliotangulia. Ikiwa hivyo, inaweza ikasaidia kuwaambia kwamba tukio hili lilitokea kabla Yohana hajakamatwa. UDB inaliweka hivi "Lakini kabla ya Yohana hafungwa gerezani" mwanzoni mwa mstari huu.

Yesu pia alibatizwa

Hii inaweza kusemwa katika mfumo wa kutendea. NI: "Yohana alimbatiza Yesu, vilevile"

mbingu zimefunguka

"Anga likafunguliwa" au "anga likawa wazi." Hii ni zaidi ya kusafisha mawingu, lakini siyo wazi nini maana yake. Ni uwezekano ina maana kwamba shimo alionekana katika anga.

Roho Mtakatifu kwenye umbo la mwili alishuka juu yake

"Roho Mtakatifu akashuka juu Yesu"

kama la njiwa

"Katika hali ya kimwili Roho Mtakatifu alionekana kama njiwa"

Wewe ni Mwanangu, ambaye nakupenda

Mungu Baba anaongea na Mwanaye ("ambaye nampenda"), Yesu ni Mungu Mwana, wakati Mungu Roho shuka juu ya Yesu. watu wa Mungu kupendana na kufanya kazi pamoja kama Baba, Mwana, na Roho.

Mwanangu, ambaye nampenda

Hili ni jina muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu