sw_tn/luk/03/14.md

678 B

Maaskari

"Watu wanaotumika jeshini"

Na sisi je? Tunapaswa kufanya nini?

Vipi na sisi maaskari, tunapaswa kufanya nini?" Yohana haunganishwi katika maneno "sisi" na "sisi." Maskari walimaanisha kwamba alikuwa amewaambia makutano na watoza ushuru wanachotakiwa kufanya na walitaka kujua kama maaskari wanachotakiwa kufanya.

Msimshutumu yeyote kwa uongo

Inaonekana kwamba maaskari walikuwa wanatengeneza tuhuma za uongo dhidi ya watu ili kujipatia fedha. AT: "kwa namna ileile, msimshutumu yeyote kwa uongo ili mjipatie fedha kutoka kwao" au "Msiseme kwamba mtu asiye na hatia amefanya kitu kinyume cha sheria."

Rizikeni na mishahara yenu

"Toshekeni na malipo yenu"