sw_tn/luk/03/01.md

24 lines
626 B
Markdown

# Sentensi unganisha
Maelezo kwa Ujumla
# Katika mwaka wa kumi na tano wa wa utawala wa Kaisari Tiberio
"Wakati akitawala Kaisari Tiberio ikiwa miaka kumi na tano"
# Filipo ... Lisania
Haya ni majina ya watu.
# Iturea na Trakoniti...Abilene
Haya ni majina ya maeneo ya utawala
# Kipindi cha ukuhani mkuu wa Annasi na Kayafa
"Wakati ambapo Anasi na Kayafa walikuwa wakihudumu pamoja kama kuhani mkuu." Anasi alikuwa kuhani mkuu, na wayahudi waliendelea kumtambua hivyo hata baada ya Warumi walipomteuwa mtoto wake mkwe, Kayafa, kuchukua nafasi yake kama kuhani mkuu.
# neno la Mungu likaja
"Mungu alisema neno lake"