sw_tn/luk/02/51.md

662 B

alirudi nao nyumbani

"Yesu alirudi nyumbani pamoja na Mariamu na Yusufu"

ulikuwa utii kwao

"aliwatii" au "kwa njia zote aliwatii"

alihifadhi mambo yote moyoni mwake

"alikumbuka mambo yote kwa makini" au "kwa furaha alifikiri kuhusu mambo haya." Maneno "kuhifadhi" au "moyo" yanaashiria kwamba Mariamu alijali mambo haya kuwa ni yanamhusu kwa kina na ni mhimu.

kukua katika hekima na kimo

"kuwa na hekima sana na nguvu." Hivi vinarejea kwenye akili na kukua kimwili.

kuongezaka kupata fadhila kwa Mungu na watu

Hii inarejea kukua kiroho na kijamii. Hii ingetofautishwa. NI: "Mungu alimbariki zaidi na zaidi, na watu walimpenda zaidi na zaidi."