sw_tn/luk/02/48.md

1.5 KiB

Walipomwona yeye

"Wakati Mariamu na Yusufu wanamwona Yesu"

kwanini umetutendea namna?

Hii ilikuwa kumkemea kwa kupindisha kwa sababu hakwenda pamoja nao wakati wa kurudi nyumbani. NI: usingefanya hivi!"

Sikiliza

Hili neno daima linatumika kuonesha mwanzo wa tukio jipya au mhimu. Hii pia inaweza kuonesha kutumika mahali tukio linapoanzia. Kama lugha yako inakauli ambayo inatumika kwa njia hii, fikiri ikiwa itaonesha uasili ikitumika hapa.

Kwa nini mlikuwa mnanitafuta mimi?

Yesu alitumia maswali mawili kuwakemea wazazi wake kwa upole, na kuanza kuwaambia kwamba analo kusudi kutoka kwa Baba yake wa mbinguni ambalo wao hawakulielewa. NI: "mlikuwa hamhitajiki kunijali mimi."

ninyi hamkujua ... nyumbani?

Yesu anatumia swali hili la pili kujitahidi kusema kwamba wazazi wake wangejua kuhusu kusudi ambalo Baba alimtuma. NI: "Ninyi mngejua ... nyumbani."

Baba yangu

Kwenye miaka 12, Yesu, Mwana wa Mungu, alielewa kwamba Mungu alikuwa Baba yake halisi (siyo Yusufu, mume wa Mariamu).

ndani ya nyumba ya Baba yangu

Maana zinazowezekana ni 1) "katika nyumba ya Baba yangu" au 2) "kuhusu biashara ya Baba yangu." Ikiwa kwa lolote, ambalo Yesu alisema "Baba yangu" alikuwa anarejea kwa Mungu. Kama alimaanisha "nyumba," basi alikuwa anarejea hekalu. Kama alimaanisha "biashara," alikuwa anarejea kwenye kazi ya Mungu aliyopewa kuifanya. Lakini sababu ya mstari unaofuata anasema kwamba wazazi wake hawakuelewa ambacho alichokuwa anawaambia hao, ingelikuwa vema usifafanue zaidi.