sw_tn/luk/02/30.md

962 B

macho yangu yameona

Udhihirisho huu unamaanisha, "Nimeona mwenyewe" au "Mimi, Mwenyewe, nimeona"

wokovu wako

Udhihirisho huu unarejea kwa mtu ambaye angeleta wokovu - mchanga Yesu--ambaye Simeoni alikuwa amembeba. NI: "mwokozi ambaye umemtuma" au "yeye ambaye ulimtuma kuokoa" (UDB)

ambacho wewe

inategema na jinsi unavyo tafsiri kauli iliyopita, hii inahitaji kubadilishwa kuwa "ambaye wewe."

umeandaa

"umepanga" au "ulisababisha itokee"

Nuru

Sitiari hii inamaanisha kwamba mtoto atasaidia watu kuona na kufahamu njia inasema mwanga husaidia watu kuona barabara. NI: "huyu mtoto anawezesha watu kuelewa nuru inavyoruhusu kuona barabara."

kwaajili ya ufunuo

iwe lazima kusema ambacho kimefunuliwa. NI: "ambacho kitaufunua ukweli wa Mungu."

Udhihirisho

itakuwa lazima kusema udhihirisho ni nini, NI: "kwamba itadhihirisha ukweli wa Mungu"

utukufu kwa watu wako Israeli

"atakuwa sababu kwamba utukufu utakuja kwa watu wako Israeli"