sw_tn/luk/02/06.md

1.3 KiB

Kauli Unganishi:

Hii inatuambia kuzaliwa kwa Yesu kwa tangazo la malaika kwa wachungaji.

Maelekezo kwa ujumla:

UDB inapanga upya mistari hii katika mstari daraja ili kutunza pamoja undani kuhusu mahali walipokaa.

Sasa ikaja kwamba

Kauli hii inaweka alama ya kuanza kwa tukio linalofuata katika simulizi.

wakati wakiwa pale

"wakati Mariamu na Yusufu walikuwa Bethlehemu"

wakati ukawadia wa kuzaa mtoto

"ilikuwa ni muda wa kujifungua mtoto wake"

alimsetiri kwa nguo nadhifu

Hii ilikuwa ni njia ya kawaida kwa akinamama kukinga na kutunza watoto wao kiutamaduni. ungesema hii wazi: NI: "akasetiri joto kwa kumfunga blanketi vizuri" au "akamfunga kumsetiri kwa blanketi."

alimlaza katika kihori

Hiki kilikuwa aina ya kiboksi au chombo ambacho watu waliweka nyasi kavu au chakula kingine ndani yake kwaajili ya chakula cha wanyama. kilikuwa safi sana na kilikuwa laini na kavu kama nyasi kavu ndani kama sponji kwa mtoto. Wanyama kawaida walitunzwa karibu na nymbani kuwalinda kiusalama na kuwalisha kwa urahisi. Ni dhahiri Mariamu na Yusufu walibaki kwenye eneo ambalo lilitumika kwaajili ya wanyama.

hapakuwa na nafasi kwaajili yao katika nyumba za wageni

"hapakuwa na mahali kwaajili yao kwenye vyumba vya wageni." Hii huenda ilikuwa kwa sababu ya watu wengi walikwenda Bethlehemu kujiandikisha. Luka anaongeza kama taarifa ya iliyokwishakutolewa.