sw_tn/luk/01/67.md

670 B

Kauli Unganisha:

Zakaria anasema kilichotokea kwa Yohana mtoto wake.

Zakaria Baba yake alikuwa kajazwa na Roho Mtakatifu

Hii inaweza kusemwa kwenye mtindo wa kutendea. NI: "Roho Mtakatifu alimjaza Zakaria baba yake."

Baba yake

baba wa Yohana

alitoa unabii, akisema

fikiria njia za asili za kuanza kunukuu moja kwa moja katika lugha yako. NI: "alitoa unabii na alisema" au "alitoa unabii na hiki ndicho alichokisema"

Mungu wa Israeli

"Israeli" hapa anarejea kwa taifa la Israeli. Uhusiano kati ya Mingu na Israeliungelisemwa moja kwa moja. NI: "Mungu ambaye anatawala juu ya Israeli" au "Mungu ambaye Israeli anamwabudu."

watu wake

"watu wa Mungu"