sw_tn/luk/01/48.md

436 B

Kwa yeye

"Kwa sababu yeye"

alitazama pale

"alitazama pale kwa makini" au "alijali"

hali ya chini

"umaskini." Familia ya Mariamu ilikuwa siyo tajiri.

Angalia

Kauli hii inatoa wito kwa kauli inayofuata.

tokea sasa na kuendelea

"sasa na badaye"

vizazi vyote

"watu wote katika vizazi vyote"

yeye ambaye anauweza

"Mungu, mwenye nguvu" (UDB)

jina lake

Hapa "jina" hurejea kwenye hali yote ya Mungu. NI: "Yeye."