sw_tn/luk/01/39.md

627 B

Sentensi Unganishi

Mariamu anakwenda kumtembelea ndugu yake Elizabethi ambaye alikuwa anakaribia kumzaa Yohana.

aliinuka

Nahau hii inamaanisha hakusimama tu, lakini pia "alikuwa tayari." NI: "alianza kutoka" au "alikuwa tayari"

nchi ya vilima

"eneo la vilima" au "sehemu ya milima ya Israeli"

Alikwenda

Hii inadokeza kwamba Mariamu alimaliza safari yake kabla ya kwenda nyumbani kwa Zakaria. Hii ingelisesemwa wazi. NI: "Yeye alipofika, alikwenda."

Sasa ilitokea

Kauli ilitumika kuonesha tukio jipya katika sehemu ya simulizi hii.

Katika tumbo lake

"katika tumbo la Elizabethi"

karuka

"sogea ghafla"