sw_tn/luk/01/16.md

1.4 KiB

Watu wengi wa Israeli

Inaeleweka kama japo Zakaria haikuwekwa, kauli hii ingelitafsiriwa kama "wengi wa koo za Israeli" au "wengi wenu ambao ni watu wa Mungu, Israeli." Kama mabadiliko haya yakifanyika, hakikisha kwamba "Mungu wao" imebadilishwa kuwa "Mungu - wao (wingi)."

kurudi

"kirudi nyuma" au "rejea"

atakwenda mbele ya uso wa Bwana

Yeye angelitangulia kutangaza kwa watu kwamba Bwana angelikuja kwao.

mbele ya uso wa

"uso wa" iko hapa ni nahau ambayo inarejea kwenye ule uwepo wa Bwana. Wakati mwingine iliondolewa kwenye tafsiri. NI: "kabla."

katika roho na nguvu ya Eliya

"pamoja na ile roho na nguvu alizokuwa nazo Eliya." Neno "roho" liwe linarejea kwa Roho Mtakatifu wa Mungu au mwenendo wa Eliya au namna ya kufikiri. Hakikisha kwamba neno "roho" halimaanishi mzimu au roho mchafu.

badilisha mioyo baba kuwaelekea watoto

"Kushawishi baba kutunza watoto wao tena" au "kuwasababisha baba kurejesha uhusiano na watoto"

rejesha mioyo

"kurejesha moyo" ni sitiari kwaajili ya kubadili nia ya mtu fulani kuelekea hali fulani.

asiyetii atatembea

"tembea" ni sitiari kwa namna mtu anaishi na kutenda. NI: "asiyetii atatenda" au "asiyetii ataishi"

asiyemtii

"watu ambao hawatii"

fanya tayari kwaajili ya Bwana

haijasemwa jinsi watakavyo kuwa tayari. Hii ilidokeza taarifa zingeliongezwa. NI: "jitayarishe kuamini ujumbe wa Bwana" au "uwe tayari kumtii Bwana."