sw_tn/luk/01/05.md

1.4 KiB

Kauli unganishi:

Malaika anatoa unabii kuzaliwa kwa Yohana

Taarifa ya Jumla

Zakaria na Elizabethi watabulishwa. Mistari hii inatoa taarifa ya historia kuwahusu wao.

Katika siku za Herode, mfalme wa Uyahudi

"Wakati ambao Mfalme Herode alitawala katika Uyahudi"

palikuwa na uhakika

"Palikuwa pa uhakika" au "palikuwa na." Hii ilikuwa njia ya kutambulisha mhusika mpya katika katika historia. Fikiria namna lugha yako inavyofanya.

mgawo

Inafahamika kwamba hii inarejea kwa makuhani. NI: "mgawo wa makuhani au "kundi la makuhani."

wa Abiya

"ambaye alitokea ukoo wa Abiya." Abiya alikuwa mhenga wa kundi la makuhani na wote waliokuwa wanatokea kwa Haruni, ambaye alikuwa kuhani wa kwanza katika Israeli.

"Mke wake alikuwa akitokea katika mabinti wa Haruni."

"Mke wake alitokea ukoo wa Haruni" Hii inamaanisha anatokea katika mfumo ule ule wa kikuhani kama Zakaria. "mke wake pia alitokea pia ukoo wa Haruni" au "Zakaria na mke wake wote wawili walitokea kwa Haruni."

"Kutokea kwa mabinti wa Haruni"

"tokea ukoo wa Haruni"

mbele za Mungu

"mbele za macho ya Mungu" au "kwenye mtazamo wa Mungu"

amri zote na maagizo ya Bwana

"yote ambayo Bwana alishaamuru na aliyotaka"

Lakini

Hili neno la kutofautisha kwamba yafuatayo hapa ni kinyume cha yaliyotarajiwa. watu walitarajia kwamba kama walifanya yaliyosahihi, Mungu angeliwaruhusu kuwa na watoto. Ingawa wanandoa hawa walifanya yaliyo sahihi, hawakuwa na mtoto yeyote.