sw_tn/lev/27/28.md

1.0 KiB

Hakutakuwa na kitu amabacho mtu anakitoa kwa Yahweh, kutoka katika vyote alivyonavyo, iwe ni mwanadamu au mnyama, au ardhi ya familia yake, ambacho chaweza kuuzwa au kukombolewa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Hukuna wawezaye kuuza au kukomboa kitu chochote mtu alichokitoa kwa Yahweh, kutoka katika vyote alivyonavyo, ama awe ni mwanadamu, mnyama, au ardhi ya familia yake", au "iwapo mtu amatoa kwa Yahweh kitu chochote alichonacho, ama awe mwanadamu au mnyama, au ardhi ya familia yake, hatakuwapo mtu anaweza kukiuza au kukikomboa"

Kila kitu kitolewacho ni kitakatifu sana kwa Yahwe

"Kila kitu mtu akitoacho ni kitakatifu sana kwa Yahweh"

Hakuna fidia inayoweza kulipwa

"hakuana akuwezaye kulipa fidia"

kwa kuwa mtu aliyelitolewa kwa ajili ya uangamizwa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "kwa kuwa mtu yeyote ambaye Yahweh kamtoa kwa ajili ya uangamivu"

Mtu huyo lazima auawe

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "lazima mmuue mtu huyo" au "yawapasa kumuua mtu"