sw_tn/lev/27/05.md

634 B

tano ... ishirini ... kumi ... tatu

"5 .. 20 ... 10 ... 3"

viwango vyenu

"kiasi cha kulipa' au yapasa mlipe"

shekeli ishirini

: "vipande ishirini vya fedha" au "gramu mia mbili za fedha"

na kwa mwanamke ni shekeli kumi

Kirai "umri huo" na "viwango vyenu vya thamani vitakuwa" ni vimeachwa wazi viweze kuelekweka. : "naye mwanamke wa umri huo lazima viwango vyenu vya thamani viwe shekeli kumi"

shekeli kumi

"vipande kumi vya fedha" au gramu hamsini za fedha"

shekeli tano za fedha

"vipande vitano vya fedha" au gramu mia moja za fedha"

shsekeli tatu

"vipande vitatu vya fedha" au gramu thelethini za fedha"