sw_tn/lev/26/21.md

28 lines
1.0 KiB
Markdown

# enenda kinyume changu
Kuenenda huwakilisha tabia. Kuenenda kinyume na Mungu huwakilisha kumpinga au kumwasi Yeye. "Asi dhidi yangu"
# nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu
Ile nomino dhahania "mapigo" yaweza kutamkwa kama kitenzi "gonga." "Nitawagonga kwa wingi zaidi mara saba
# nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu
Kule Yahweh kusababisha maafa kutokea kwa Waisraeli kumezungumziwa kana kwamba angewapiga na mapigo au kuwagonga. : "Nitasabisha maafa mengi yaje mara saba dhidi yenu" au "Niitawaadhibu kwa ukali zaidi mara saba"
# mara saba
Hapa "mara saba" siyo halisi, humaanisha Yahweh atazidisha ukali wa adhabu yake.
# sawasawa na dhambi zenu
Ile nomino "dhambi" yaweza kuelezewa pamoja na kitenzi "tenda dhamb.i." : "kulingana na mara mlizotenda dhambi"
# ambao watawaibia watoto wenu
Kuiba huwakilisha kuwavamia au kuvamia na kuwaburuta. : "watakaowavamia nyinyi na kuwaburuta watoto wenu"
# Hivyo barabara zenu zitakuwa jangwa.
"Ili kwamba hatakuwepo wa kusafiri kwaenye barabara zenu." "Kuwa jangwa" humaanisha kwamba hakuna mtu yeyote huko.