sw_tn/lev/26/18.md

1.0 KiB

mara saba

Neno "saba" hapa siyo halisi. Humaanisha Yahweh atazidisha ukali wa adhabu yake.

Nami nitakivunja kiburi chenu

Kule kutumia nguvu lili kuwafanya wao wasiwe na kiburi kumezunguziwa kana kwamba alikuwa avunjje kiburi chao. : "Nami nitaadhibu na kwa hiyo nitakomesha kiburi unachojisikia kuusiana na nguvu zenu" na "nitawaadhibu ili kwamba msiwe na kiburi tena kwa sababu ya nguvu zenu.

Nitaifanya mbingu juu yenu iwe kama chuma na nchi yenu kama shaba

Hii humaanisaha Mungu ataizuia mvua isidondoke kutoka mawinguni. Hii itaifanya ardhi kuwa ngumu kiasi kwamba watu hawataweza kupanda mbegu au kukuza mazao.

Nguvu yenu itatumika bure

Kule kufanya kazi kwa nguvu kumezungumziwa kana kwamba kulikuwa kutumia nguvu zao ha hawa kuwa na nguvu tena. Kile kirai "bure" humaanisha kwamba wasingepata kitu kutokana na kazi kufanya kazi kwao kwa juhudi kubwa. : "Nanyi mtafanya kazi kwa juhudi sana bila mafanikio" au mtuafanya kazi kwa juhudi sana, lakini hamtapata kila kitu chema kutokana na kufanya kazi kwa juhudi sana"