sw_tn/lev/25/01.md

477 B

hiyo nchi lazima ifanywe iwe ya kuishika Sabato kwa ajili ya Yahweh

Nchi inazunguziwa kana kwamba ilikuwa mtu ambaye angeweza kuitii sabato kwa kupumzika. Ni kama vile tu watu wanavyopaswa kupumzika kila siku ya saba, watu walikuwa waheshimu Mungu kwa kutoilima ardhi katika kila mwaka wa saba.: "yawapasa kuitii sheria ya Sabato kwa kuiacha ardhi ipumzike kila mwaka wa saba kwa ajili ya Yahweh" au "yawapasa uitii Sabato ya Yahweh kwa kutoilima ardhi kila mwaka wa saba"