sw_tn/lev/23/04.md

409 B

nyakati zilioamriwa

"katika nyakati zake mwafaka"

mwenzi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi ... Siku ya kumi na tano ya mwezi ule ule

Mwezi wa kwanza katika kalenda ya Kiebrania huitia alama siku Yahweh alipowatoa Wasraeli katika nchi ya Misri. siku ya kumi na nne na ya kumi na tano ziko kariru na mwanzo wa mwezi wa Aprili katika kalenda ya Magharibi.

kwenye machweo.

"wakati wa jua kuzama"