sw_tn/lev/22/31.md

449 B

kuzishika amri zangu na kuzifuata

Yale maneno "Shika"na "fuata" humaanisha kitu kilekile. Nayo husisitiza kwamba ni lazima watu watii ammri za Mungu, : "tii amri zangu"

2Msiliabishe jina langu takatifu

Neno "jina" hapa humwakilisha Yahweh mwenyewe na sifa zake njema. : "msiniabishes mimi Au "msiiabishe sifa yangu njema"

Ni lazima nitambuliwe kuwa ni mtakatifu na watu wa Israeli

: "Watu wa Israeli wanitambue kwamba mimi ni mtakattifu"