sw_tn/lev/22/14.md

1.2 KiB

naye atamlipa kuahani kwa ajili ya hicho; itampasa kuongeza moja ya tano juu yake

moja ya tano juu yake- maana zinazowe kuwa ni 1) kwamba mtu alipaswa kureje chakula kilicholiwa pamoja na chakula cha aina ile ile au 2) kwamba mtu huyo alipwa kulipa fedha kwa kuhani kawa jili ya chakula alikila yeye.

moja ya tano juu ya tano

moja ya tano juu yake- Hii ni sehemu moja kutoka kwenye sehemu matano zilizosawa.

kutoheshimu vitu vitakatifu

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa kukuvitendea kwa heshima hivyo vitu vitakatifu"

ambavyo vimeinuliwa juu na kuletwa

Kile kirai "vimeinuwa juu" hurejelea ile ishara ya heshima ninayowakilisha utoaji wa kitu fulani kwa Yahweh. Kimsingi humaanisha kitu kile kile kama "kilichotolewa." : "kile walichokitoa"

wakajisababishia wenyewe kuchukua dhambi amabyo ingewafanya kuwa na hatia

Dhambi imezungumziwa kana kwamba kilikuwa chombo ambacho watu wanaweza kukibeba. Maana za weza kuwa 1)Wangeweza kuwajibika kwa dhambi na kuwa na hatia. : "Wangekuwa na hatia kwa ajili ya dhambi waliyoitenda" au 2)neno "dhambi" kibadala cha cha adhabu kwa ajili ya dhambi waliyoitenda. : "Wangepokea adhabu kwa sababu ni wenye hatia"