sw_tn/lev/22/01.md

630 B

waambie wajiepushe na vitu vitakatifu

"waambie wakati wanaotakiwa kujiepusha na vitu vitakatifu." Yahweh anataka kuelezea mazingira ambayo kuhani huwa najisi na haruhusiwi kugusa vitu vitakatifu.

katika vizazi vyenu

"tangu sasa na kuendelea"

wakati akiwa najisi

Tazama maelezo ya sura 13:20

sharti mtu huyo akatiliwe mbali atoke mbele zangu

Yule kuhani asiyeweza tena kumtumika Yahweh amezungumziwa kana kwamba mtu huyo amekatwa kutoka mbele za Yahweh, kama mtu angekata kipande cha nguo au tawi mti kutoka kwenye mti. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. "Mtu huyo hataweza kamwe kutumika kama kuhani"